VYAMA vitano vya upinzani mkoani Shinyanga,vimeeleza kuridhishwa na uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 ...
“Ndugu zangu, kufuatia msiba huu tumepokea salamu za pole na faraja kutoka sehemu mbalimbali duniani. Viongozi wa Afrika na viongozi wa Kimataifa. Na ninawashukuru wote waliotuma salamu hizo kwa serik ...
Mkoa wa Pwani umeandaa maonyesho ya nne ya bidhaa za viwandani, ambayo yanatarajiwa kufanyika kuanzia Desemba 16 hadi 20, ...
VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi ...
RAIS wa Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania (JMAT), John Kahyoza, amesema Mahakama za Tanzania zimepiga hatua katika ...
Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dk. Samia ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania itaingia tena kwenye ushindani wa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani ...
Rutazaa aitaka serikali kuunda mahakama maalum ya kesi za ukatili wa kijinsia MWANAHARAKATI nguli nchini, Aginatha Rutazaa, ...
WATOTO wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani(WHO), Kanda ya Afrika, Dk, Faustine ...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Dk.Faustine Ndugulile ametuachia somo la kusimama katika ukweli na kuwa moto kusimamia katika jambo unaloliamini. “Mimi kama mwakilishi wa kambi ya watu wach ...
KOCHA mpya Msaidizi wa Singida Black Stars, David Ouma, amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesifu kiwango cha kiungo mshambuliaji, Clatous Chama, akisema ni cha hali ya juu na ...